Rais Samia Suluhu amteua Philip Mpango kuwa makamu rais
Rais wa Tanzania Samia Suluhu amemteua Dkt Philip Mpango kuwa makamu rais akingoja kuidhinishwa na asilimia 50 ya bunge la...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu amemteua Dkt Philip Mpango kuwa makamu rais akingoja kuidhinishwa na asilimia 50 ya bunge la...
Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Noordin Haji amewatahadharisha wanaodhulumu watoto hususan wasichana kimapenzi akisema afisi yake itahakikisha wamechukuliwa hatua kisheria....
Rais wa Tanzania Bi Samia Suluhu ameongoza watanzania kutoa pole zao za mwisho mjini Dodoma kwa hayati rais Dkt John...
Kamati ya dharura inayoshughulikia janga la korona katika kaunti ya Mombasa nchini Kenya imetoa masharti na mapendekezo yatakayosaidia kudhibiti msambao...
Katibu mwandamizi katika wizara ya mawasiliano,vijana na uvumbuzi Nadia Ahmed ameeleza kuridhishwa kwake namna mradi wa kubuni nafasi za kazi...
Hospitali ya rufaa na mafunzo ya mkoa wa Pwani CGTRH imepata msaada wa mashine ya sola kutoka serikali ya ujerumani...
Waziri wa elimu Profesa George Magoha amewatahadharisha wanafunzi,wazazi na wakenya kwa jumla dhidi ya wizi wa mtihani wa kitaifa ya...
Huku Ulimwengu ukisherehekea siku ya kimataifa ya Wanawake ,Wanawake katika kaunti ya Mombasa wamehimizwa kushirikiana kupiga vita dhulma za jinsia....
By Edmond KipngenoUasin Gishu county7/3/2021 Soy Member of Parliament Caleb Kositany has now asked the ODM party members never to...
Serikali ya Kenya imewahakikishia wakenya kuwa chanjo ya Astrazeneca iliyowasili nchini Jumatano Machi 3,2021 chini ya mpango wa COVAX kutoka...