Mkewe hana kifuli
Hadithi nawaleteya, garama sitoitisha Miye mpenda umbeya, ndewe zenu nishabisha Udaku nimekoleya, na bado nitazidisha Yule mke wa Tajiri, sidhani...

Natamani tukutane, nikupe uso kwa jicho, Mambo kadha tukanene,a nikwambiye nitakacho, Nipe myadi tupatane, nitakupa upendacho, Wamitila nakuhara, michangoyo ni...