@Wessay

Kwaheri Ken Walibora

Wakili niko langoni, leyo tena nimefika Siji nayo burudani, machozi yatiririka Naomba nisikieni, nieleze yalotufika Mola amlaze pema, Walibora katuaga...